Search This Blog

Saturday, 13 December 2014

VIPINDI VYA FURAHA



NOOMA SANA... JANGWANI SEA BREEZE



Mabishoo walio tukuka ndani ya jangwani sea breeze....

KUTANA NA KIKOSI KILICHO BEBA KOMBE LA SHULE... PAMOJA NA KOCHA WAO JAX MAJOR




SWAG OR DIE


Kutana NA Wasisi wa SWAG OR DIE
UKIHITAJI CHOMOKA NA MZIGO WA SWAG OR DIE
KUTANA NASI 0783566940
TUTAKUKUTANISHA NAO

KIPAJI KUTOKA MOYONI


UKIZUNGUMZIA KIPAJI
UNAKUWA UNAZUNGUMZIA KUHUSU UBUNIFU
HAWA MAJAAMAA NI WABUNIFU MNO
WALIFANYA SHOO KUBWA SANA SIKU YA MAHAFALI
YA 4M 4 MWAKA 2014
WALIFANYA MIXTAPE
YA I,M BOSYA RICK ROSS
KAMA UNAIHITAJI
WASILIANA NASI
0783566940

TEAM GAME NYINGI


HII ILIKUWA NI GEMU YA WATOTO WA MBEZI DHIDI YA CHUO
ST.JOSEPH

BABU SEA STYLE

Kama ulikuwa hujui vipi huchezwa babu sea style
basi ndiyo ujue
hiyo ni hatua ya mwanzo
ubend kidogo then......
hivo yani
thanks kwa mozenyo, b wizzy na chaptana

MABINGWA WAPYA WA 2014-2015 MPIRA WA MIGUU WAKIKABIDHIWA KOMBE

HIVI NDIVYO MABINGWA WAPYA WA SOKA WALIVYO KABIDHIWA KOMBE LAO
NI FORM 5

Friday, 12 December 2014

MBEZI HIGH SCHOOL

HII KAMA NDIYO POST YA KWANZA YA BLOG HII, AMBAYAO IMEAANZISHWA RASMI SIKU YA JUMAMOSI TAREHE; 12/13/2014.... TUNAOMBA KWA MSAADA WA MUNGU TUFANIKISHE JAMBO HILI KWA AMANI, NA LIWE CHINI YA UONGOZI IMARA